TAHADHARI KWENYE BOOK TITLE YAKO Ikiwa unataka Kuuza Vitabu vingi..

Ndugu Mwandishi wa Vitabu,

\"EPUKA kuwa na TITLE YA KITABU inayompatia Msomaji JIBU LA MOJA KWA MOJA kuhusu kitabu chako.\"

TITLE ya namna hiyo HAIMSUKUMI MTU KATIKA KUNUNUA KITABU CHAKO.

Kwa mfano, Title kama vile... Maziwa ya mama ni muhimu kwa Afya ya Mtoto, Elimu ni Ufunguo wa maisha, Upendo huimarisha Ndoa, Asali inatibu Meno, na kadhalika.

Je,Umeelewa?

Kama Bado,

Jipatie Kitabu cha JIFUNZE UANDISHI WA VITABU KWA NJIA RAHISI

Ndani yake (katika sura ya 5) utaelewa Jinsi Ya kupata Title Bora za vitabu Zitakazokurahisishia Uuzaji wa vitabu vyako.

Lakini pia utafahamu mambo unayopaswa kuyaepuka wakati wa kupata title ya Kitabu chako - mambo ambayo hupuuziwa na zaidi ya 57% ya waandishi waliokwisha kutoa vitabu.

USIKUBALI KUPITWA!

Mawasiliano: 0764 79 31 05 WhatsApp