ZIJUE SIRI ZA KUFANIKIWA KATIKA MASOMO
JITAHIDI KUZIJUA SIRI ZA KUKUWEZESHA KUFAULU MASOMO
MWANAFUNZI ANAO UWEZO YEYE MWENYEWE WA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAKE. ELIMU YA MWANAFUNZI INATOKA NDANI YAKE MWENYEWE HIVYO UBORA WA MWANAFUNZI KITABIA, KIMAWAZO, KIIMANI, KINIDHAMU NA UBORA WA KUSIMAMIA MIHEMUKO YAKE INAMFANYA MWANAFUNZI AJIJENGEE SIFA ZA KUFANYA VIZURI MASOMO YAKE.
KUFANYA VIZURI MASOMONI HAITEGEMEI TU KATIKA KUWA NA AKILI AU KIPAJI BALI KATIKA UJUMLA WA UBORA WA MWANAFUNZI.
HIVYO KITABU HIKI KIMEAINISHA MAMBO MBALIMBALI AMBAYO YANAMWEZESHA KUSTAHIMILI MIKIKIMIKIKI YA SHULE NA MASOMO, KUMFANYA MWANAFUNZI AWE NA MTAZAMO BORA.
KITABU PIA KIMESHEHENI NUKUU ZA WATU MASHUHURI ZAIDI YA 150 AMBAZO MWANAFUNZI ANAPOKOSA HAMASA ZITAWEZA KUMUHAMASISHA NA KUMPA MSUKUMO MPYA, MANENO YATAMPA NGUVU ANAPOKATA TAMAA NA KUMPA NJAA YA KUJARIBU TENA NA KUBADILISHA KABISA MATOKEO YA MASOMO YAKE.
NUKUU ZINAWASHA KWA CHECHE, MAFUTA YANAYOWEZA KULIPUKA KATIKA KICHWA CHA MWANAFUNZI NA KUMFANYA ATOKE NA MATOKEO YA JUU KABISA.
KITABU KINA MAARIFA LUKUKI YA KUMWAMASISHA MWANAFUNZI NA KUMFANYA AWAFURAHISHE WAZAZI WAKE.
HIVYO MWANAFUNZI ASIKIKOSE KITABU HIKI NI RAFIKI YAKE MWAMINIFU.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza