
ZIJUE MBINU ZA KUEPUKA KUUGUA MAGONJWA MARA KWA MARA
Jione mwenye bahati kupata nakala ya kitabu hiki
Tunaishi katika dunia iliyojaa magonjwa.Magonjwa yarnkuambukiza na magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekuwa ni sehemu ya maisha yarnwatu wa kizazi hiki.Kila siku wanasayansi na watafiti wengi wa masuala ya afyarnna magonjwa wanazidi kufanya uchunguzi jinsi gani wanaweza kukabliliana na kilernkiitwacho magonjwa.
Mamia narnmaelfu ya watu wanazunguka huku na huko kutafuta msaada wa kiafya dhidi yarnmagonjwa yanayowakabili.Wapo ambao kila siku ili maisha yao yaendelee ni lazimarnwatumie dawa. Mbaya zaidi hakuna mwelekeo wa kupungua foleni ya wagonjwarnwanaongoja kupata ushauri na matibabu sahihi toka kwa daktari.
rnrnrnrn
Haijalishirnhali yako ya maisha ikoje, utajiri, mali, elimu au madaraka linapoibuka sualarnla ugonjwa, hofu, mashaka na kukata tamaa kunaongezeka! Ajabu ni hii hakunarnmstari uliochorwa miongoni mwetu kuonyesha mtu huyu yuko salama katikarnhili.Ndiyo maana ni muhimu kila mmoja wetu ajifunze Mbinu Za Kuepuka Kuugua MagonjwarnMara Kwa Mara.