Zege
Price:
8,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 03, 2023
Product Views:
2,064
Sample
Hiki ni kitabu cha ujenzi kwenye upande wa Zege, rnKimeandikwa kwa Kiswahili, ni rahisi kukielewa.
Hiki ni kitabu cha ujenzi kuhusu Zege.
Kitabu kinakusadia kuelewa tofauti kati ya Zege zuri na zege baya na hivyo kukuongoz kupata Zege zuri.
Utajua jinsi ya kuchagua vifaa vya kuchanganyia Zege, Kuchanganya zege, kusafirisha zege, kumimina zege, kushindilia zege, kufinishi zege, na kutunza zege bichi.
Kitabu kinamfaa fundi anaetaka kujua jinsi ya kupata zege zuri, pia kinamfaa mtu yeyote anaetaka kujua kuhusu zege.