ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA, AJIRA HATARINI NA WEWE BADILIKA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 07, 2023
Product Views:
874
Sample
Zama zimebadilika, maisha yamebadilika, ajira hatarini na wewe badilika.
Mara ya kwanza kabisa nilipofikiria kuandika kitabu, kitabu kilichokuja kwenye akili yangu kikiwa cha kwanza, kilikuwa ni hiki cha
ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA, AJIRA HATARINI NA WEWE BADILIKA.
Lakini huwezi amini, nimeandika vitabu 19 sasa na ninakuja kutoa kitabu hiki kikiwa cha 20. Kila mara nimekuwa nikiandika kitabu hiki na kufikia hatua ya mwisho ya kukitoa na baadaye kujiambia kwamba kitabu hiki bado hakijawa tayari, hivyo nikawa nasitisha kukitoa kwanza.
Kuna wakati nilikitangaza kwa karibia nmwezi mzima, watu wakaweka oda ya kupata kitabu kabisa, ila baadaye baada ya kukipitia nikahisi kama kitabu bado hakijakamilika.
Siku moja wakati naongea na kocha wangu, naliniambia kwamba hakuna kazi yoyote ile ya sanaa ambayo huwa imekamilika kwanasilimia 100. Badala yake kazi za sanaa huwa zina mwanya wa kuendelezwa zaidi.
Leo hii nafurahi kuwa baada ya muda wote huo wa kukiandika na kukiacha pembeni kwanaza na kukiandika tena, hatimaye kimekamilika na sasa unaweza kukisoma.
Karibu sana uweze kusoma kitabu hiki, naamini mwenyewe utakipenda.
Asante
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza