Zaidi Kuhusu Damu Ya Yesu
Price:
7,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 31, 2022
Product Views:
1,597
Sample
Kitabu hiki kimejaa maarifa mengi na mapana katika matumizi ya DAMU YA YESU kila siku katika maisha ya mwanadamu.
Jipatie maarifa haya ya ajabu sana kuhus DAMU YA YESU..usiangamie kwa kukosa maarifa...! Damu ya Yesu ipo hadi sasa,,na inafanya kazi kila siku kutokana na kisango cha matumizi ambayo Mwamini anacho juu ya DAMU YA YESU.
Kitabu hiki kimeandikwa na mtumishi wa Mungu Luis Malole ambaye ni mwanafunzi wa Udaktari katika Chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mbeya( UDSM-MCHAS) na kuzinduliwa mnamo mwaka 2021 July.