YUKO WAPI?
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 21, 2021
Product Views:
5,001
Sample
Hii ni hadithi nzuri sana. Ndani yake utakutana na kijana wa kitanzania aitwaye Jackson, yeye anakumbana na mikasa mingi sana. Mkasa mkuu ukisababishwa zaidi na aina ya kinywaji kilichochanganywa kikemikali na kuunda kinywaji cha ajabu, kinywaji kisichoonekana a.k.a INVISIBLE DRINK!. Kuna maajabu gani kuhusu kinywaji hicho.... Utafahamu zaidi ndani ya kitabu hiki.
USIKUBALI KUSIMULIWA
Kinunue sasa, ili uhondo huu usikupite.
Said Maumba
0682 458 163
WhatsApp.
Ahsante.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza