YAJUE MAPEPO NA DAWA YAKE
YAJUE MAPEPO NA DAWA YAKE ili uzidi kufurahia mafanikio ambayo Mungu amekuandikia
Ni rahisi kufikia kilele cha mafanikio yako kwasababu kuna hatua za kufikia mafanikio. Changamoto inakuja pale unaposhindwa kujua maadui wa mafanikio yako. Ukimwomba Mungu akuletee mvua usisahau kuwa mvua huja na matope, sasa maandalizi yakupokea mvua yanatakiwa yaende sambamba na maandalizi ya kuyakwepa matope. Mafanikio yanaleta harufu nzuri kwa maadui ambao wanaitwa mapepo. Hawa maadui kazi yao wanapenda usiyatumie mafanikio yako kwenye kutimiza malengo uliyojiwekea. Mwandishi amefunuliwa na Mungu kwakukuletea kitabu kinachoitwa YAJUE MAPEPO NA DAWA YAKE ili uzidi kufurahia mafanikio ambayo Mungu amekuandikia wewe.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza