YAFANYE MAMBO HAYA UWAPO KIJANA
Maisha yako ya uzeeni yanaamliwa Na yanategemea Sana Aina ya maamuzi unayofanya Na Aina ya Maisha unayoishi katika Ujana wako!
Machozi ya huzuni yanatoka katika macho ya watu wazima na wazee japo kuna wale ambao hawalii ila wanajutia sana mioyoni mwao, kwa sababu wapo wanalipa gharama za kitaaluma, kimahusiano, kiuchumi nakadhalika, ambazo zilitokana na kukosa maono au kutokujua walipaswa kufanya nini katika ujana wao lakini pia gharama zingine wanalipa kutokana na maamuzi waliyoyafanya miaka mingi iliyopita wakiwa vijana. Ambapo huenda kwa wakati ule Yalionekana kuwa ni maamuzi mazuri mno ila leo wanajutia.
Swali ni je, hawa vijana wa sasa wanafahamu umuhimu wa kujua maono yao au umuhimu wa maamuzi wanayoyafanya leo na ni kwa namna gani maamuzi hayo yataathiri maisha yao ya baadae?
Karibu usome kitabu Hiki ambacho nimeonyesha mambo muhimu 7 unayopaswa kuyafanya ukiwa KIJANA!
Kumbuka "Miaka 20 baada ya Leo utajilaumu Zaidi Kwa mambo ambayo hukuyafanya Kuliko Yale ambayo uliyafanya"
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza