WhatsApp Marketing
Jinsi Ya Kutumia WhatsApp Kuuza Bidhaa Zako Kirahisi
Katika Kitabu Hiki Utajifunza Njia Zaidi Ya Tano Zitakazo Kusaidia Kuuza Kirahisi Kupitia Mtandaoni Wa WhatsApp.
Utajifunza Jinsi Ya Kutumia WhatsApp Status Kuuza Bidhaa Zako. Utajifunza Kipi Unatakiwa Ku Post na Kwa Muda Gani Na Kipi Hautakiwi Ku Post.
Utajifunza Pia Jinsi Ya Kutumia WhatsApp Group Kufanya Wateja Wakufahamu,Wakupende na Wakuamini Kirahisi.
Utajifunza Jinsi Ya Kufanya Follow-up Kwa Wateja Wako + Mifano Ya Maneno Unayotakiwa Kutumia.
Utajifunza Njia Mbili za Ku Set Tangazo La Kulipia (Sponsored Ads) Kupitia WhatsApp.
Utajifunza Njia Sahihi Za Kupata Namba Za Wateja Wako Kirahisi.
Haya Na Mengine Mengi yatakusaidia Kuuza Bidhaa Zako Kirahisi Kupitia WhatsApp.