WhatsApp Marketing
Price:
9,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 10, 2021
Product Views:
3,622
Sample
A-Z ufanyaji wa Biashara, utengenezaji wa pesa kupitia WhatsApp
WhatsApp Inafunguliwa Mara nyingi kwa 98% ukifananisha na Mitandao mingine. Kwa Maana hiyo wateja wa Biashara yako wengi hutumia muda wao humo.
Wateja Unaowapata kutoka Mitandao mingine, Mauzo huja kufungwa WhatsApp.
Ebook hii itakupitisha katika hatua muhimu za kufuata ili ufanye Biashara na utengeneze pesa kwa urahisi kupitia WhatsApp kwa kutumia Kanuni ya Dhahabu itakayokuwezesha kumbadilisha mtu asiyekufahamu Kuwa Mteja wako