Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Wewe Ni Nani - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

Wewe Ni Nani?

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 31, 2022
Product Views:
2,308
In category:
Sample

Wewe ni nani

 Hiki ndicho unachotakiwa kukijua kabla ya miaka 18. Moja ya sababu kubwa za kupishana kauli, kutukanana, kupigana na wakati mwingine kuuana kabisa kati ya mtu na mpenzi wake, mtu na rafiki yake, mtu na jirani yake, mtu na bosi au mtu na mfanyakazi wake ni kutokujua yeye ni nani na kwa nini yuko hivyo! Duniani ni sehemu salama sana yenye furaha kama utajitambua wewe ni nani? Kitabu hiki kinakusaidia kwa urahisi kabisa kujijua kuwa wewe ni nani na kuweza kujiongoza wewe mwenyewe kabla ya kumuongoza mwingine. Ninaamini kabisa utakapokimaliza kitabu hiki utatamani kuniona kunipa hata mkono wa Asante kwa kukunasua kwenye minyiroro uliyokuwa umekwama ya kimapenzi, ndoa, urafiki, uhusiano bosi eneo la kazi na hata jamii inayokuzunguka! Sasa kazi kwako ushindwe mwenyewe!

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold