Wewe Ni Mteule
Mwongozo wa kuishi na kutimiza Malengo yako ukiwa chuoni.
Tunajua unajua mengi sana,Tena Wewe ni Msomi, Lakini,Naomba ututegee Sikio leo,tukueleze machache ambayo sina hakika kama umeshawahi,kujifunza,Mahali popote,!!i Kabla sijasema Sana,acha nijiridhishe,nikuulize maswali yatakayonipa mwangaza wa nianzie wapi
Je,UNAYAJUA MASOMO YASIYOFUNDISHWA CHUONI??
Vipi kuhusu makosa 9 ya KIFEDHA AMBAYO hufanywa na wanafunzi wa vyuo??
Na yale maswali 4 muhimu unayopaswa kujiuliza ukifika chuo je??
Ukifa UNATAKA ukumbukwe kwa lipi??
Hivi unajua Kuna MAISHA BAADA YA CHUO??
Naaah!!Vipi kuhusu Majuto ya wahitimu wa vyuo??
Usiwaze Sana, Majibu ya maswali yote hayo na mengine mengi,yapo katika kitabu cha wewe,ni mteule,Mwongozo wa kuishi na kutimiza MALENGO yako ukiwa chuoni,
Karibu ukisome
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza