Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Waziri Gerezani - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Waziri Gerezani

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 04, 2020
Product Views:
4,753
In category:
Sample

Mtoto wako ni matokeo ya malezi yako...

Namshukuru Mungu kwa kunipa Neema ya kuandaa vitabu kwa ajili ya watoto, kitabu hichi kimebeba simulizi ya Yusufu kwa lugha nyepesi sana, ila pia kina maonyo, hekima na maneno ambazo mzazi anaweza kumuambia mtoto wakati anamsomea simulizi hii. Kuna uziada wa maswali utakaompa mtoto kufikiri kwa uziada sana. Ni simulizi ambazo kama utapata nafasi ya kujifunza na mtoto basi uwe na uhakika hatasahau maana kuna vionjo vya kumsaidia mtoto kukariri kwa wepesi maarifa haya. Na yakijaa ndani yake basi Hekima zitazaliwa humo.
More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold