Wasaka Mafanikio
Price:
3,997 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 18, 2022
Product Views:
1,811
Sample
Mafanikio ni Kanuni.
Kanuni ya kwanza inasema lazima ujitambue kwanza WEWE NI NANI? na UNA KUSUDI GANI?. Mimi ni msaka Mafanikio kama wewe tu. Sasa hiki kitabu kinazidi kifunguka mengi sana ya faida kwetu WASAKA MAFANIKIO.
Kuna kanuni inasema ANZA SASA. Ambapo nimetazama jina la nchi TANZANIA nikaona maneno ANZA na NIA. Na ni kweli kwamba kwenye kusaka Mafanikio inabidi TUANZE NA NIA. Basi soma zaidi ewe MSAKA MAFANIKIO MWENZANGU...