Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Wabunifu Team Trading Strategy - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Wabunifu Team Trading Strategy

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
95,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 26, 2023
Product Views:
655
In category:
Sample

Ni kitabu ambacho kinaelezea trading strategy iliyofanyiwa kazi zaidi ya miaka 2 na kuleta matokeo chanya kwa watu ote waliopata kujifunza strategy hii yenye kuzingatia taarifa kutoka sokoni.rnrnTrading siyo rahisi ila kupitia strategy hii utaenda kuifurahia na kuona kwanini ulichelewa kubaini haya mapema.

Kitabu hiki kimeandaliwa kwa uzoefu wa hali ya juu kutoka sokoni hivyo kitaenda kutatua changamoto yako ya trading ndani ya muda mfupi kwani kinaelezea taarifa halisi juu ya njia rahisi nayenye manufaa (trading strategy).

My training course inagharim zaidi ya $200 lakini leo hautahitajika kulipa kiasi hicho kwa ajili ya kupata training....... 

Pindi utakapo miliki kitabu hiki utapata vifuatavyo 1) mentorship ya strategy yote A-Z endapo utapata changamoto kuelewa vyema 2) utapata access ya materials yote yaliyoandaliwa na team yetu juu ya trading psychology 3) utapata access ya kutrade pamoja ukipenda 4) utapata sapoti muda oote ukiwa na changamoto juu ya trading.

Thanks nakukaribisha kwenye njia ya kuifukuzia ndoto yako kupitia Forex trading kwa kutumia Wabunifu Team Trading Strategy. 


Nia nikuwa financial stable kupitia trading.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold