Vunja Madhabahu Ya Babeli
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 06, 2023
Product Views:
1,146
Sample
Kitabu kinachoelezea vyanzo mbalimbali vinavyosababisha uwepo wa madhabahu za kifamilia,na namna kuvunja maagano hayo.
ulishawahi kujiuliza kuhusu uwepo wa madhabahu za kifamilia au ukoo?
Kuna baadhi ya sababu zinazodokeza uwepo wa madhabahu za kifamilia na ukoo,ikiwemo:
*Magonjwa ya kurithi
*Umaskini wa kifamilia
*Vifo mfululizo vya kifamilia
*Tatizo la kusahau vitu kwa mda
*Na mengine mengi,suluhisho lake lipo kwenye kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza