Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Uzuri Wa Gereza Hazina Iliyo Sahaulika2 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Uzuri Wa Gereza Hazina Iliyo Sahaulika

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 08, 2025
Product Views:
26
In category:
Sample

Uzuri Wa Gereza Hazina Iliyo Sahaulika AUDIOBOOK

Sehemu Ya kwanza Kitabu hiki Uzuri wa Gereza; Hazina Iliyo Sahaulika - Sehemu ya Kwanza, kinakufunulia hazina hizo za thamani zilizo hifadhiwa na Mungu kimaalum nakwa usiri mkubwa ndani ya gereza la serikali, ambazo ni chachu ya UAMSHO wenye kuleta mapinduzi ya kiroho, kijamii, kiutamaduni, kiuchumi na kiujasiliamali kwa kupitia katika rasilimali watu. Wewe unayejiona uko huru nje ya gereza la kiserikali, nakutangazia kuwa inawezekana kabisa kuwa umefungwa katika gereza la utandawazi wa kidunia kwa vifungo vya muda maalum, vifungo vya maisha na kusubiria kunyogwa hadi kufa kwako. Mungu kwa mapenzi yake ameamua kukukomboa ili uwe huru nje ya gereza hilo kupitia katika utandawazi wa maendeleo endelevu ya kiroho kwako binafsi na taifa lako kwa ujumla ili kujitawala kifikira na kuutawala ulimwengu unaokuzunguka kwa uhuru. Maudhui ya kitabu hiki yana thamani kubwa kwa vile yanakutiririkia sambamba na shuhuda za maisha halisi niliyoyapitia mimi mwandishi na shuhuda nyingine za watu mashuhuri hapa ulimwenguni ili kukifanya kuwa muhimu katika kuhuisha roho yako na kufikirisha akili zako binafsi uweze kujitafuta, kujipata, kujitathimini na kutengeneza chapa yako iliyo bora na mpya tofauti na ulivyo sasa kabla ya kusoma kitabu hiki. Usipange kutokukisoma kitabu hiki, kwani ni ufunguo wa kufungulia mlango wa hatima njema ya maisha yako binafsi na hatima njema ya taifa lako! Endelea......

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold