Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Uza Vitabu Vyako Kirahisi Zaidi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
30,000 Tsh. 20,000 Tsh.
Discount Code : Z87378w
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 13, 2022
Product Views:
1,092
In category:
Sample

Jinsi Unavyoweza Kuuza Vitabu vyako Kirahisi zaidi tofauti na Waandishi wengine - Ndani na Nje ya mtandao wa intaneti (kwa Vitendo)

Je una rekodi ya kuteseka kuuza vitabu vyako, nje na ndani ya mtandao wa intaneti, licha ya kutumia Nguvu nyingi, pesa, na muda?

Hata unapojaribu kupunguza bei, hakuna badiliko lolote (chanya) unalolipata – Watu wanaendelea kutokununua vitabu vyako licha ya kwamba, vina maarifa mazuri sana ndani yake?

Hiki kitabu (eBook) ni kwa ajili yako.

Ndani ya hiki kitabu kuna mbinu na njia zitakazokusaidia kuuza vitabu vyako kirahisi Zaidi, ndani na nje ya mtandao wa intaneti, tofauti na waandishi wengine.

Ni Mbinu makini sana ambazo nimekuwa nikizitumia kwa zaidi ya Miaka 4 kuuza vitabu vyangu vya hardcopy na Softcopy. Kwa hiyo, ni Mbinu Zilizohakikishwa (Zinafanya kazi).

Mfano mdogo upo kwenye eneo la SAMPLE hapo juu - kapabonyeze uone jinsi vitabu vyangu vinavyouzika kwa kasi. 

Je, Nimewezaje kuuza haraka hivyo? Majibu yote nimeyaweka kwenye ndani ya Kitabu.

Na

Je, ninatumia njia gani Kuviuza? Majibu yapo kwenye Kitabu.


MWANDISHI WA VITABU, unadhani UKIUZA VITABU VYAKO (Softcopy) KWA BEI NAFUU sana kama vile shilingi 1000, 2000 au 5000 ndipo watu wengi WATAVINUNUA..!!

Usijidanganye.

Utapunguza mpaka mwisho, lakini watu hawatavinunua.

Bei nafuu haijawahi kuwa kigezo kikubwa cha kuwafanya watu wanunue vitabu.

Binafsi (Lackson Tungaraza) huwa ninauza Softcopy za shilingi elfu 20, 30... na bado watu wanavinunua sana.

Wakati huohuo Kuna watu wanauza vya shilingi elfu 5 na havinunuliki.

Kwa hiyo, achana kabisa na hizo stori za kwamba, Watanzania wengi hawasomi vitabu au Watanzania HAWANUNUI Softcopy za Bei kubwa.

....huo ni uongo (nisikilize mimi ninayekuambia ukweli).

Sasa,

Pengine unawaza sasa ni Mbinu gani na Njia gani ninazotumia kuuza vitabu hata kwa Bei kubwa ambazo watu wengine wanaogopa kuuzia vitabu vyao...

....nimekuwekea hizo SIRI zote ndani ya hii eBook yangu ya UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI.

Yaani, ukisoma hiki Kitabu halafu ukashindwa kuuza vitabu vyako NIITE MBWA au kanishitaki kituo cha polisi (chochote) kilichopo karibu yako.

BOFYA button ya BUY NOW hapo juu sasa hivi kujipatia hii eBook uanze kupata RAHA ya uandishi wa vitabu (ambayo ni kuona Pesa zikiingia kwenye account Yako kupitia vitabu ulivyohangaika usiku na mchana kuviandika).

Na kwa kuwa u Mwandishi mwenzangu, nakupatia hiyo eBook Leo kwa Ofa ya shilingi elfu 25,000 tu za Kitanzania.

Uwamuzi ni wako

Kuchukua hatua.

100% money back guarantee kisipokusaidia kama nilivyokuahidi.

Good Results Guaranteed!

HUNA HAJA YA KUENDELEA KUTESEKA KUUZA VITABU VYAKO KATIKA KARNE HII. Jipatie hiki Kitabu cha UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI kwa Ofa ya Tsh.10,000 Tu badala ya Tsh.50,000 (Punguzo la zaidi ya 50% SIKU YA LEO)

HAUTAJUTIA KUKISOMA. KIMEBEBA ELIMU YA VITENDO (practical knowledge)

______________________________

UTAFAHAMU....

01: Jinsi Unavyoweza Kuuza Vitabu vyako KIRAHISI 

02: Njia Za Kuuzia Vitabu Vyako 

KISIPOKUSAIDIA KUUZA NAKALA NYINGI ZA VITABU VYAKO baada ya kukitendea kazi kama ilivyoelekezwa kitabuni.... Njoo uombe kurejeshewa Malipo Yako. Utarejeshewa Yote; 100% money back guarantee.

BOFYA button ya BUY NOW hapo juu sasa hivi kujipatia hii eBook uanze kupata RAHA ya uandishi wa vitabu (ambayo ni kuona Pesa zikiingia kwenye account Yako kupitia vitabu ulivyohangaika usiku na mchana kuviandika).

HII NI OFA YA LEO TU. IWAHI KABLA HAIJAISHA na gharama kurejea kwenye elfu 50.

More Products On Discount
25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold