Utundu Adimu Wa Mahusiano
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 19, 2023
Product Views:
776
Sample
Mambo muhimu kuyajua ili usiteseke na mahusiano
Mahusiano yanahitaji ufahamu ambao tunauita ujuzi wa mahusiano.
Kama ilivyo mifumo mingine , vile inavyoendeshwa na kuundwa ndivyo ilivyo hata mahusiano.
Ukijua vitu vya muhimu vya kuhusika na navyo kwenye mahusiano utakuwa umejua namna ya kuyaendesha mahusiano yako na kuyastawisha.
Mahusiano hayaendi tu yanahitaji ujuzi, ufundi na uwezo wa kuyaendesha vizuri . Sasa katika kitabu hiki nimekuandikia ujuzi huo na ufundi unaohitajika ili uyafanye mahusiano yako yafane ,