Best Seller
UTT AMIS KWA MTU MWENYE HARAKA
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 01, 2022
Product Views:
2,331
Sample
Muongozo mwepesi wa kuwekeza katika kampuni ya Uwekezaji wa Pamoja UTT AMIS
Katika kitabu hiki utajifunza vitu 3
1) utangulizi wa jinsi ya kuzalisha pesa kupitia kuwekeza.
2)Muongozo wa kuwekeza UTT AMIS, ikiwa ni pamoja na mifuko yake.
3) Namna ya kuongeza faida kupitia uwekezaji wa UTT AMIS, kama jinsi ya kutengeneza pensheni yako n.k