Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ute Wa Mimba - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Ute Wa Mimba

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 29, 2023
Product Views:
4,371
In category:
Sample

Kwako mwanamke mwenye changamoto ya kukosa ute ukeni jipatie kitabu kitakachokupa muongozo wa vyakula vya kutumia vitakavyokusaidia kuongeza ute kwenye uke na kukuepusha kupata maumivu, vidonda na michubuko sehemu za siri kutokana na ukavu ukeni hasa wakati wa tendo la ndoa.

“Jinsi Ya Kuongeza Ute Ukeni.”

Je umehangaika kwa muda mrefu kuongeza ute ukeni bila mafanikio…

Kiasi ambacho unajawa na wasiwasi huku ukiamini itakua ni ngumu kwako kushika ujauzito, unapata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kutokana na ukavu ukeni, unapata michubuko wakati wa tendo la ndoa …

Kama jibu ni ndio basi usiwe na wasi wasi kwani nimekuletea suluhisho la changamoto yako…

Huhitaji kutumia dawa za hospitali kuongeza ute ukeni..

Tiba bora itakayokusaidia kutatua changamoto yako ya kukosa ute ukeni inapatikana kupitia vyakula ambapo nimekuandalia kitabu (soft copy) kitakachokupa muongozo wa vyakula vya kutumia vitakavyokusaidia kuongeza ute ukeni…

Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;

  1. Sababu 7 zinazochangia mwanamke kukosa ute wa mimba ukeni.
  2. Vyakula vinavyosaidia kuongeza ute wa mimba ukeni.

“Thamani ya kitabu hiki mara zote ni Tshs 30,000/= lakini leo unakipata kwa gharama ya Tshs 10,000/= tu (okoa 20,000/= nzima)…

“OFA hii ya punguzo la bei ilikuwa ni kwa watu 10 wa mwanzo na tayari nafasi 5 za kwanza zimeshachukuliwa, wahi nafasi 5 zilizobakia (ofa hii itaisha kesho saa 6:00 mchana, weka oda yako mapema).

Ili kuwahi OFA yako kabla ya kesho saa 6:00 mchana, wasiliana nasi kwa simu namba 0625 305 487.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold