USIHARIBU MAISHA YAKO
Maisha ni safari ambayo imekuwa haitabiriki, Safari hii imekuwa mara nyingi ikiwashinda watu wengi kuendelea mbele kwasababu ya makosa waliyoyafanya nyuma. Safari ya maisha ya mwanadamu ni muunganiko mambo uliyo yafanya jana yanaathiri mambo unayo yafanya leo na mambo unayo yafanya leo yanaathiri mambo utakayo fanya kesho, Kama kijana kitabu hiki kitakusaidia kuijua mitego ya mambo ambayo hayawezi kuonekana kwa macho na ni ngumu kutambulika kwa akili za kawaida

Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza