USICHOKIJUA KUHUSU MOYO MGUMU
Kiini cha migogoro ya mahusiano, ndoa, familia na kila eneo kwenye maisha ya mtu ni Moyo Mgumu. Wakati ambapo dunia inapita katika migogoro mingi sana kwenye maeneo mbalimbali swali gumu linalopaswa kutolewa majibu ni nini suluhisho la haya yote. Kitabu hiki nachambua kiini cha matatizo na suluhu ya kudumu ya matatizo hayo.
Deogratius Sukambi ni mshauri nasihi, mchungaji, muandishi na muanzilishi wa taasisi ya Family Gathering. Kitabu amekiandika ili kutatua tatizo linalotesa watu wengi sana duniani. Tatizo la Moyo Mgumu.
-Nini maana ya Moyo Mgumu
-Dalili 12 za Moyo Mgumu
-Nini chanzo cha Moyo Mgumu
-Uhusiano baina ya Moyo Mgumu na Tatizo la Afya ya Akili
-Jinsi Moyo Mgumu unavyoathiri kila nyanja za Maisha yako
- Jinsi ya kupona dhidi ya Moyo Mgumu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza