Ushindi Katika Nyakati Ngumu
UKWELI KUHUSU HALI NGUMU KATIKA MAISHA, SIRI YA USHINDI, NA JINSI YA KUKABILIANA NA UGUMU KATIKA ENEO LOLOTE LA MAISHA YAKO.
KUHUSUrnKITABU
"Ushindi Katika NyakatirnNgumu" ni kitabu ambacho kitakusaidia jinsi unavyoweza kukabiliana na hali yoyoternngumu katika maisha yako, namna ya kuiona nuru pale ambapo kila mmojarnanapoliona giza na jinsi ya kukitumia kinywa chako katika kuuandaa ushindirndhindi ya changamoto.
Hakuna ambayernhuwa hapitii nyakati ngumu katika maisha yake, kila mmoja kwa nafasi yake narnkwa wakati wake huwa anapita katika kipindi fulani cha ugumu katikarnmaisha yake. Namna unavyoweza kukabiliana na kipindi hicho, ndiyo itakayo amuarnama upande zaidi katika maisha yako au ushuke zaidi. Waliofanikiwa katikarnmaisha huwa hawana mbinu za kuyakimbia yale magumu yanayokuja upande wao balirnwanazo mbinu za kukabiliana na magumu hayo.
Kitabu hiki nirnjibu kwa swali lile linalo uliza "Nifanye nini ili niweze kushindarnkatika kipindi hiki kigumu ninachokipitia?" Kitabu hiki kimeandikwa kwarnlengo la kuwasaidia watu namna ya kuweza kuzitumia nyakati ngumu wanazozipitiarnkama daraja la kuwapandisha badala ya kuwashusha.
KUHUSU MWANDISHI
Abel E Kiharo (Kaka Abel) ni kijanarnaliyeokoka, mtoto wa tisa katika ndoa ya Elias Kiharo na Sarafina Balizigiye.rnKwasasa Abel ni mwanafunzi katika chuo cha Kabanga College of Health And AlliedrnSciences akiwa anasomea kozi ya uafisa tabibu katika ngazi ya stashahada.
Abel ni mwandishi, mkufunzi wa vijana (Youthrntrainer) na mwalimu wa Neno la Mungu mwenye kiu ya kuwaona watu wakiuishirnupekee wa maisha yao. Amekuwa akiandika kwa muda mrefu makala mbalimbali narnkuzisambaza kwa njia ya mitandao ya kijamii, ambazo zimewasaidia watu wengirnmpaka sasa katika kuuishi upekee wa maisha yao.
rnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrnrn
Pamoja na kuwa mwandishi, Abel ni mwanafunzi warnkudumu katika mahusiano, uongozi, afya na ujasiriamali. Anaamini siri ya mafanikiornya kweli katika maisha ni kuugundua, kuufurahia na kuuishi upekee wa maisharnyako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza