ULIMWENGU WAKO
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 18, 2020
Product Views:
3,009
Sample
Itambue nafasi yako ili uyavutie na kuyaishi mafanikio yako, siri ya mafanikio iliyojificha ndani yako.
Baadhi ya .ambo ya msingi utakayojifunza kwenye kitabu cha ULIMWENGU WAKO.
1::ufahamu ulimwengu wako
2::tambua hapo ulipo kwamba ndipo mahali pako sahihi ? Sehemu itakayochochea kuinuka kwako.
3::unajua kwamba kuna sehemu wewe ni mtawala? Mbinu ya kukusaidia kuigundua milki Yako
4:: Namna ya kufaninikiwa Kwa kutumia ufikiri wako.
5:: Zijue nguvu adhimu zilizojificha ndani Yako. Nguvu zinazosubili uzitumie Ili zikutukuze.
6:: Namna ya kuona ukuu ulio ndani Yako.
7::tambua mchakato wa kujitengeneza wewe halisi , yule mtu uliyeumbwa Kwa kusudi.
8:: sehemu uliyopo ndiyo inazuia mafanikio Yako, samaki hawezi kuishi bila maji.
9::Maneno ya watu ni ya watu tafuta maneno Yako. Namna ya kuanza kuliishi kusudi lako.
10:: kwanini ni muhimu kujiishi wewe?
11:: Namna ya kuitengeneza thamani kwenye ulimwengu wako.
12::ijue nguvu ya kukuinua ukichoka .
Na mengine mengi utajifunza kwenye kitabu hiki.