Ujenzi Hatua Kwa Hatua
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 03, 2023
Product Views:
2,703
Sample
Hiki ni kitabu cha ujenzi Hatua Kwa Hatua , Kimeandikwa kwa Kiswahili na ni rahisi kukielewa.
Hiki ni kitabu cha Ujenzi wa nyumbacho kinakuongoza kujenga nyumba yako inavyotakiwa.
Kitabu kimeandikwa kwa lugha rahisi ya kiswahili ambayo unaweza kuelewa hata kama hujawahi kusoma elimu ya ufundi.
Kitabu kinafaa kila mtu ambaye ana nia ya kuelewa kuhusu ujenzi wa nyumba inavyotakiwa.