UJANJA USIOUFAHAMU KUHUSU FEDHA
Mambo muhimu kuyafahamu ili uipate fedha kwa wepesi
Utapata pesa kulingana na viwango unavyoifahamu na utaipoteza kwa viwango ambavyo huifahamu.
So angalia asilimia za kuifuhamu na ambazo huifahamu ndio utaona kiwango cha kumiliki kwako pesa .
Tunatunza vitu kwa ujuzi tunaoufahamu na tunaviharibu kwa ujuzi tusio ufahamu. if you don't know the purpose of a thing the abuse is inevitable - Dr Myles Munroe
Usiogope kupoteza pesa ili ujifunze kuihusu pesa kwa sababu kwa kadri unavyoifahamu ndivyo unaongeza mamlaka ya kuimiliki.
Kwa kadri unavyojua kuchezea remote ya king'amuzi au ya tv ndivyo inakupa uwanja mpana wa kuijua na kuicontrol tv au king'amuzi.
Mafanikio ya fedha ni mindset, ndio maana kuna kitabu kinaitwa think and grow rich and not work hard and grow rich, Kwasababu kuna watu wanawork hard hadi wanazeeka na bado utajiri wanausikia redioni.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza