Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ujana Ni Hazina - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

UJANA NI HAZINA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 03, 2022
Product Views:
2,351
In category:
Sample

\\\\\\\"Miaka 20 ijayo utajutia sana mambo ambayo hukuyafanya kuliko yale uliyoyafanya.\\\\\\\" Ujana ni hazina, tumia vizuri hazina yako.

Ujana ni kipindi cha kati baada ya utoto na kabla ya uzee. Ni wakati ambao mtu ana uwezo wa kubeba maono akayaatamia vizuri na ni kipindi cha kutengeneza uzee mwema. Kwa maisha ya mwanadamu, hiki ni kipindi ambacho mtu huwa na nguvu nyingi za mwili na uwezo wa akili yake kufanya kazi huwa mkubwa ukilinganisha na kipindi cha utoto au uzee. 

Huu ndio wakati ambao utasikia watu wakisema \\\\\\\"damu inachemka\\\\\\\", wakiamini kwamba uwezo wa mtu kimwili na kiakili huwa wa hali ya juu ukilinganisha na vipindi vingine vya ukuaji. Kipindi cha ujana ni kiashiria cha maisha yako baada ya ujana, aina ya maisha unayoishi kwenye ujana wako ndiyo yanatoa taswira ya aina ya maisha utayoishi uzeeni na namna utakavyokumbukwa baada ya kifo chako.

Hii ndio sababu mtalaamu wa saikolojia na mahusiano Dr Chris Mauki aliwahi kusema; \\\\\\\"unapokuwa kijana una utajiri mkubwa wa aina mbili, 1. Nguvu, 2. Muda. Tumia hekima sana kutumia utajiri huu maana itafika wakati hutakuwa nao kabisa.\\\\\\\"

Kitabu hiki kinakuja baada ya kugundua kwamba watu wengi waliofanikiwa kwenye maisha na kutengeneza alama za kudumu kwenye hii dunia walianza kuandaa mafanikio hayo ingali bado wakiwa vijana. Lakini pia hata wale walioyaharibu maisha yao, walio wengi walifanya hivyo katika kipindi cha ujana.

Hivyo kitabu hiki kimebeba mambo muhimu yatakayo kusaidia kufanya kipindi cha ujana wako kiwe na tija kwa kufanya mambo ambayo yatakuwa alama na hazina itakayodumu na kuishi kwa niaba yako wakati ambao wewe hautakuwepo. Haya ni mambo yaliyo wasaidia watu waliofanikiwa kujenga msingi wa mafanikio yao wangali bado vijana. 

Sina shaka, kupitia kitabu hiki utaenda kufungua ukurasa mpya wa maisha yako, kuweza kutimiza malengo yako na kuzifikia ndoto zako ukiwa kijana.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold