UHAI WA MAONO
Malengo bila maono sawa na kuweka fedha kwenye mfuko uliotoboka au kuweka maji kwenye chombo kilicho toboka
Mahali pa tajiri zaidi ulimwenguni sio mgodi wa dhahabu wa Afrika Kusini, sio visima vya Mafuta vya Nigeria, sio mgodi wa Silver wa Amerika, lakini ni MAKABURINI. Makaburi yana mamilioni ya mawazo, maono na ndoto ambazo hazikutimia, yana vitabu ambavyo havikuandikwa, nyimbo ambazo hazikuimbwa, magari ambayo hayakutengenezwa, majengo na minara ambayo haikujengwa na kadhalika. Mapenzi ya Mungu kwa maisha yako ni yapi? Katika kugundua kusudi la Mungu kwa maisha yako, kuna maswali Matano ya msingi lazima uwe na majibu yake. Ingia ndani ya kitabu, soma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho ukutane na jibu lako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza