Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji Kama Mradi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji Kama Mradi

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
6,900 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 06, 2022
Product Views:
2,651
In category:
Sample

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Kama Mradi ni muhimu kwa wafugaji wa wadogo wa kuku wa kienyeji na wanaopanga kuingia kwenye ufugaji.

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KAMArnMRADI

“Hatuarnkwa Hatua Kuelekea Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Wenye Faida”

Kwenye kaya nyingi mijini narnvijijini kuna kuku wa kienyeji wanaofugwa. Sehemu kubwa kila baada ya nyumba 3rnhadi 5 kwenye mtaa basi moja inafuga hawa kuku.

Licha ya kufugwa kwa wingi, bado beirnya mazao yake yani kuku, nyama, mayai na vifaranga bado ipo juu sanarnukilinganisha na aina nyingine za kuku. Kuku wa kienyeji ni kitoweornkinachopendwa sana. Bado hakuna sherehe ya maana bila nyama ya kuku warnkienyeji.

Pamoja na manufaa haya na kuuzwa beirnnzuri sokoni bado watu hawanufaiki na kuku huyu. Kuku wengi wanapotea kwa vifo,rnmagonjwa, ajali, wizi, kushambuliwa wanyama au wadudu wakali na kupotea.rnWafugaji wanaojinasibu kufuga kuku hawa kwa wingi wengi wana idadi ya kukurnchini ya mia moja (100).

Changamoto kubwa inayosababisha halirnhii ni ufugaji wa mazoea usiozingatia mbinu za kitaalamu pamoja na kibiashara.rnKuku wanatelekezwa bila kupatiwa huduma za msingi kwa sababu mfugaji hana elimurnau taarifa sahihi hivyo anashindwa kufanya maamuzi sahihi anapopatwa na majangarnkama vile magonjwa ya mlipuko.

Ili pawepo na tija, ufugaji wa kukurnwa kienyeji unapaswa kuendeshwa kitaalamu kwa kuzingatia kanuni bora za ufugajirnkama mradi wa biashara. Lazima upate faida kwenye kila pesa unayotumia kwenyernkufuga kuku.

Kitabu cha "Ufugaji wa Kuku warnKienyeji Kama Mradi" ni mbia wako muhimu kukupatia ujuzi wa mbinu hatuarnkwa hatua kuelekea ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye faida.

Kitabu kinakupatia hatuarnzilizothibitika za kufanya uanze kuona manufaa kwenye ufugaji wa kuku warnkienyeji. Utajua hatua unazotakiwa kupita kuanzia kwenye wazo la kufuga hadirnutakapofika sokoni. Utapata ufahamu wa kudhibiti magonjwa na gharama za chakularncha kuku.

Ndani ya kitabu kuna mbinu za kuzalisharnkuku wengi na mazao yao kwa gharama nafuu sana hivyo hautapata kisingizio charnkutoona faida kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji. Utaweza kuanza kufuga vyoyoternutakavyo bila hofu ya mtaji.

Kitabu hiki nimekitohoa kwenyernmakala yangu maarufu ya "Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Kama Mradi"rnambayo imewanufaisha maelfu ya watu ndani na nje ya Tanzania wanaoelewa lugharnya kiswahili.

Baadhi ya shuhuda zao hizi hapa:

Likaa Likaa

“Sijapatarnkuona elimu bora ya ujasiriamali kama hii. Safi sana yani safi. Elimu mliyotoarnni njema na Mungu awabariki. Kwa mtu makini na mfuatiliaji hii ndiyo investmentrnbwana. Safi! Big Up!”

Laurensia Mallya

“Asanternsana mtoa darasa kwani nimepata uelewa mkubwa kutokana na makosa niliyokuwarnnayafanya bila kufahamu sasa nitazingatia elimu yako uliyonipa.”

Joseph Masenta

“Asanternsana mtoa darasa, ninaamini sasa katika ajira kama hizi kwa mwaka unawezarnkupata mamilioni ya pesa.”

Jimmy James

“Asante!rnNimejifunza kitu, nilikuwa nikitafuta jinsi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji sasarnnimepata darasa tosha.”

Victor Ezekiel Kamaghe

“Asanternsana kwa elimu yako nzuri. Mie bado sijafanikiwa kuuanzisha mradi ila kupitiarndarasa hili lazima nitafanya.”

Daniel Mkongwa

“Nimependezewarnsana sana na mradi huu, naanza na kuku 30 nataka nione matokeo yake, naaminirnMungu ataniongoza.”

Usikose nakala yako. Bado ninasubirirnkupata ushuhuda wako.

Imeandikwa na Mujaya Jones Mujaya, Mwandishirnwa “Kitabu cha Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Kama Mradi.”

Mawasiliano: +255768678122

                        ev.mujaya@gmail.com 

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold