UFUASI AGIZO KUU LA YESU KRISTO
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2020
Product Views:
5,120
Sample
Kanisa lipo kwaajili ya jambo kuu mojatu, nalo ni kuwavuta watu kwa Kristo, na kuwafanya wafanane naye, kama halifanyi hivyo basi linapoteza muda. Ufuasi ndio agizo na kusudi kuu la Kanisa, bila wafuasi hakuna kanisa. Leo katika makanisa yetu tumejaza waamini wengi na sio wafuasi. Changamoto kubwa ya Kanisa ni kuwafanya watu wanaokuja kumfuata Kristo kufikia viwango vya kuwa wafuasi wa Yesu.
UFUASI :AGIZO KUU LA YESU KRISTO KWA KANISA,
NI KITABU BORA KWA KILA MTUMISHI ALIYE KATIKA HUDUMA. KIMEFUNDISHA KUHUSU UFUASI KWA NAMNA YA KIPEKEE KABISA.