Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ufalme Wa Mungu1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

UFALME WA MUNGU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 29, 2022
Product Views:
1,554
In category:
Sample

Udhihilisho wa nguvu isiyo ya kawaida ulimwenguni

Huwenda amezungukwa na mambo mengi magumu ambayo yanautesa moyo wako kwa muda mrefu, na umekosa ufunguo wa namna ya kuyatatua kwasababu yamezidi uwezo wako.

Ufunguo wa ustawi wa maisha yako ni ufahamu kuhusu Mungu na nguvu ya kipekee aliyoiweka juu ya mwanadamu , kwa kuwa kwa kadri unavyozama kumfahamu Mungu ndivyo unavyo zidi kujigundua wewe halisi ndani yake. Neno la Mungu linasema mjue sana Mungu ndivyo mema yatakavyokujilia.

Hakuna namna nyingine ya kuyatawala matatizo yako yaliyokutawala zaidi ya kujua ufahamu wa namna ya kutumia ile nguvu Mungu aliyoiachilia mikononi mwako.

Mambo ya muhimu kujifunza kwenye kitabu cha UFALME WA MUNGU.


1:: Funguo muhimu za kuelewa ufalme wa Mungu ambazo zitakupa majibu ya mahitaji Yako yote.

2::utajua uhitaji wa asili ambao mwanadamu anautafuta na hajui kama anautafuta.

3::kitu ambacho kila mtu anatamani akimiliki na namna ya kukipata.

4::Chanzo cha mamlaka aliyokuwa nayo Adamu. 

5::Itambue mamlaka ya Mungu ndani ya mwanadamu.

6:: Ufalme wa Mungu ni nini na ni nani mwenye Ufalme Kwa sasa?

7::kanuni na sheria zitakazokusaidia kuishi kwenye Ufalme.

8:: kwenye Ufalme hakuna kuomba ila kuamuru. Huna haja ya kulia Tena ila kufuata kanuni za kimungu nilizo kuandikia humu kutoka kwenye neno la Mungu.

9:: ijue katiba ya Ufalme na namna itakavyokufanikiaha kwenye kupata mahitaji yako.

10:: Utamaduni wa kifalme, vile unapaswa kuishi Ili Mungu aendelee kukuwezesha pamoja na  kutembea na wewe.

11:: Yajue matumizi ya jina la Yesu. Utambulisho utakapkusaidia kutambulika na kuwa mtu asiyezuilika kila sehemu utakayopita.

12:: Wewe ni nani kwenye Ufalme? Tambua nafasi Yako ndani ya Ufalme wa Mungu.

14::namna Ufalme wa Mungu unavyofanya kazi duniani.

15:: Nguvu utakayoibeba Ukiwa mwana wa Ufalme.

16:: Namna ya kuomba kwenye Ufalme.

17:: Zijue nguvu na mamlaka ya utawala zinazopatikana Ukiwa mwana wa ufalme

Na mengine mengi utajifunza kwenye kitabu hiki .

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold
6,000 Tsh.

Sold by: Musa Ngonyani

5,000 Tsh.

Sold by: Paul Izengo

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

5,000 Tsh.

Sold by: Upendo Kitundu

10,000 Tsh.

Sold by: Joas Yunus