Tunu Ya Binti
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 26, 2022
Product Views:
3,896
Sample
Tunu Ya Binti
Unapozungumzia binti, unamaanisha kijana wa kike mwenye umri kati ya miaka 15 na kuendelea. Ingawa kulingana na sheria za Tanzania binti anaanza kuhesabiwa kama mtu mzima, anayeweza kufanya maamuzi baada ya kufikisha umri wa miaka 18, tangu alipozaliwa. Tunasema kuanzia miaka 15 kwa kuwa wakati huo ni wa hatari sana kwa kijana wa kike kwa kuwa anakuwa katika umri wa kupevuka na kuanza kuwa windo la vijana wenzake, watu wazima wasio na maadili na makundi meng ine yenye tamaa ya mwili………
pata kitabu hiki uweze kusoma zaidi