TUMIA FURSA TENGENEZA BIASHARA
Nafurahi sana kitabu hiki kipo mikononi mwako sasa, sina shaka kabisa utakisoma na kujifunza yaliyomo ndani ya kitabu. Nimeandika kitabu hiki, nikiwa na lengo moja tu, kuamsha hamasa ndani yako uweze kuona fursa zinazokuja kwako na utengeneze biashara. Kitabu hiki kitaondoa kabisa mtazamo hasi uliojengeka kwa wengi kuwa ni ngumu kupata mtaji na kuanzisha biashara. Ujumbe wangu kwako ni TUMIA FURSA TENGENEZA BIASHARA!.
Nafurahi sana kitabu hiki kipo mikononi mwako sasa, sina shaka kabisa utakisoma na kujifunza yaliyomo ndani ya kitabu. Nimeandika kitabu hiki, nikiwa na lengo moja tu, kuamsha hamasa ndani yako uweze kuona fursa zinazokuja kwako na utengeneze biashara. Kitabu hiki kitaondoa kabisa mtazamo hasi uliojengeka kwa wengi kuwa ni ngumu kupata mtaji na kuanzisha biashara.
Ujumbe wangu kwako ni TUMIA FURSA TENGENEZA BIASHARA!.