TUMEKUFUATA YESU; TUTAPATA NINI?
Fahamu mengi na katika ufafanuzi wa Kweli juu ya Swali ambalo Petro Mtume Alimuuliza Bwana Yesu, ''Tazama sisi Tumeacha vyote, Tukakufuata, Tutapata nini basi' Kwa majibu na ufafanuzi wa swali hili, soma kitabu hiki, utafahamu mengi ikiwemo;rnKWANINI YESU Kristo ALIDHIHIRISHWA KWETUrnMAPOKEO YA WAAMINI JUU YA UJIO WA YESU KRISTO ULIMWENGUNIrnWAAMINI AINA YA PETROrnTAZAMA SISI;rnTUMEACHA VYOTE;rnTUKAKUFUATA;rnTUTAPATA NINI BASI;rnUTIMILIFU WA AHADI ZA MUNGU;rnKaribu Tusome Kitabu hiki kizuri na kujifunza.
Lakini pia kwa Ufafanuzi wa ndani na wa kiroho katika uhalisia wake, Soma kitabu hiki.
Lakini pia katika Kitabu hiki Unafundishwa jinsi ya kupata ahadi hizi ambazo Yesu Kristo Anaahifi kupitia majibu yake. Namna ya Kweli ya kufanya ili uwe Mwamini wa Kweli na mwenye mafanikio ya Kweli.
HAYO YOTE NIMEYASHIKA, NIFANYE NINI TENA?
Kupitia Kitabu hiki TUMEKUFUATA YESU! TUTAPATA NINI utafahamu. Karibu