Tulizo Novemba
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 11, 2022
Product Views:
2,069
Sample
Jarida Linalotoka Kila Mwezi. Pakua Bure.
Ni Novemba, Hussein Issa Tuwa; Rais wa UWARIDI amepamba jalada la mbele pamoja na mkewe. Kazungumza machache kati ya mengi. Si mbaya ukayasoma.
Jarida limesheheni habari lukuki. Si la kuacha kusoma