THREE THINGS COSTING SCHOLARS
Jifunze namna ya kuwa mhitimu wa tofauti baada ya kuhitimu elimu ya juu.
Je! uko tayari kwa maisha yako ya chuoni na baada ya chuo kuboreka? Je, ungependa kujifunza namna ya kuboresha maisha yako uwapo chuoni na baada ya chuo? Je, baada ya masomo ungependa kuonekana kama msomi wa tofauti kwenye jamii yako? Ikiwa ni hivyo unasoma kitabu sahihi!.
Lengo kubwa la kuandika kitabu hiki ni kupunguza au kuondoa kabisa, tatizo la kuwa na wasomi tegemezi mtaani, na kuwa na wasomi wanaojitambua, wenye uwezo wa kupanga mipango mikakati na kutekeleza.
Basi kilichomo ndani ya kitabu hiki si vitu pekee vinavyo wagharimu wanavyuo isipokuwa kunavingine vingi, ila kwa hivi katika utafiti wangu ndio msingi wa mengine mengi kutokea, hivyo, niliamua kufafanua hivi ili angalau watu wapate maarifa haya pia kuzuia yale mengine kutokea(kitaalamu tunasema kuzuia secondary bacterial infection).
A person with a clear purpose will make progress on even the roughest road. A person with no purpose will make no progress on even the smoothest road. —THOMAS CARLYLE kwamba mwenye malengo anaweza kutembea vema hata kwenye barabara mbovu, na mtu asiye na malengo hatokuwa na mwendo hatakama atakuwa kwenye barabara nzuri, mwanachuo nimuhimu uwe na malengo ili uende sawasawa kwenye maisha ya chuo.
only big dreams have the power to move men’s souls. —MARCUS AURELIUS ndoto nikama mtazamo wa kule unakoelekea, (soma vema uelewe kila mada) hapa utaelewa vema ukifika mada ya pili “kutokuwa na mtazamo wa baada ya masomo watafanya nini”.
Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. Mith 29:18 karibu usome kitabu hiki, na ninaamini unakwenda kubadilika na kuwa mwanachuo ambaye ni extraordinarily nenda ukawe na Mungu akubariki.