THINK AND TAKE STEPS
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 17, 2024
Product Views:
623
Sample
Don't Take Step and Think but Think and Take Steps.
Think and Take Steps ni kitabu kizuri kwa sababu moja kubwa, kinaelezea kwa undani na uwazi mambo na mikakati rahisi ambayo itakusaidia kufanikiwa kimaisha pamoja na kuwa Mtu ambaye ungependa kuwa bila kujali mazingira uliyopo kwa sasa.
Ni kitabu kinachotoa mwongozo, ushauri mzuri na suluhisho kwa Mtu yeyote mwenye ndoto kubwa ambaye kwa sasa anakabiliwa na changamoto mbalimbali.
Ukisoma Kitabu hiki utakutana na mamia kwa Maelfu ya watu waliofanikiwa ambao nimekuwa nikiwahoji ili kupata majibu ya swali langu la msingi la "KWANINI WATU WENGINE WANAFANIKIWA ZAIDI?"
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza