The Beneth Formula
The Beneth Formula ni kitabu kilichobeba mbinu mbali mbali za namna bora ya uandishi wa matangazo yako ambazo hutumiwa na watu nguli duniani wa mauzo.rnrnNamna ya kutofautisha matangazo yako ilikuwafikia wateja husika pekee.rnrnKimebeba pia mifano halisi ya namna bora ya kuandika matangazo yako yatakayoleta mvua ya wateja.
The Beneth Formula ni kitabu kitakachokusaidia kuvuta wateja wengi zaidi kwenye biashara yako pasina kutumia nguvu nyingi.
Kama unavyotambua umuhimu wa kuitangaza biashara yako, sasa basi ndani humu utaenda kupata kutambua njia rahisi zaidi ya uandishi wa matangazo yenye kuzingatia vitu vikuu vitatu.
Vitu hivyo vimeelezwa kwa uzoefu wa juu na kuwekewa mifano halisi ya kutosha.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza