TELEMSHA NYAVU
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 10, 2020
Product Views:
3,997
Sample
TELEMSHA NYAVU ni Wimbo wenye ujumbe wa kukutia Moyo kuwa ukikosa Mara ya Kwanza usikate tamaa.
Badili ukiri wako ndugu je unajitabiria nini katika maisha yako, TWEKA NYAVU KILINDINI, TELEMSHA NYAVU, kumbuka Mungu pekee ndio hujua hatima ya Mafanikio yako Itii sauti yake amini NENO lake kila kitu kinawezekana.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza