Tambua Thamani Na Nguvu Ya Leo
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 18, 2020
Product Views:
2,526
Sample
Mafanikio yako yanaanza na Leo. Jifunze jinsi ya kutumia Leo yako Vema.
Kitabu hiki kimebeba nguvu za kukuwezesha kufikia mafanikio yako. Kupitia kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo.
1.Jinsi ya kutambua thamani na nguvu ya leo
2.Jinsi ya kufanya maamuzi sahihi kuhusu leo.
3.Wewe ni mtu bora sana.
4.Kuwa mtu wa kudhamiria na siyo kutamani.
5.Jinsi ya kuondoa mambo yanayokufanya usiwe halisi katika maisha.
6.Kulitambua shamba lako la Almasi
7.Jinisi ya kutumia kushindwa kwako kuwe kufanikiwa kwako.