Suluhisho La MAGONJWA 16 SUGU Yasiyoambukizwa Wala Kutibika Kirahisi
Jifunze jinsi ya kujikinga na magonjwa sugu yasiyo ambukizwa
Magonjwa yasiyo ambukizwa Kama kisukari, Magonjwa ya moyo ugonjwa wa shinikizo la damu ,ugonjwa wa kansa na saratani Magonjwa ya Figo na mengine mengi yamekuwa yakileta athari hasi katika jamii yetu ikiwemo kuongeza idadi ya vifo pamoja na ulemavu wa kudumu. Na tatizo kubwa ilikuwa ni ukosefu wa elimu sahihi ya utunzaji wa afya zetu.
Hivyo Basi katika kitabu hiki tutapata elimu Bora itakayo kusaidia kutunza afya na kwa kutumia njia rahisi kabisa zinazo kubalika na watoa huduma ya afya na utaweza kuokoa afya yako dhidi ya Magonjwa yasiyo ambukizwa.!!!! Nawatakia usomaji mwema .
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza