Sub Rosa - Maisha Nyuma Ya Pazia
Maisha yetu yamezungukwa na mambo mengi. Kuna mambo ya kuumiza na ya kufurahisha. Yote Kwa pamoja huleta maana halisi ya maisha.rnKwa kutokujua jambo hili au Kwa kujua; watu wengi wamekuwa wakiishi nje ya uhalisia wao. Hali hii inapelekea kukosekana Kwa maadili halisi ya kiutumishi. rnZipo Siri zimejificha nyuma ya mwonekano wa nje. Na hii ndiyo maana ya kukuletea kitabu hiki ambacho kitaenda kukuweka wazi Kwa baadhi ya Siri zilizojificha nyuma ya pazia.
Maisha yetu yamezungukwa na mambo mengi. Kuna mambo ya kuumiza na ya kufurahisha. Yote Kwa pamoja huleta maana halisi ya maisha.
Kwa kutokujua jambo hili au Kwa kujua; watu wengi wamekuwa wakiishi nje ya uhalisia wao. Hali hii inapelekea kukosekana Kwa maadili halisi ya kiutumishi.
Zipo Siri zimejificha nyuma ya mwonekano wa nje. Na hii ndiyo maana ya kukuletea kitabu hiki ambacho kitaenda kukuweka wazi Kwa baadhi ya Siri zilizojificha nyuma ya pazia.