SITAKI MASIHARA TENA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 24, 2020
Product Views:
2,718
Sample
Kataa masihara, fanya maamuzi sahihi kwa manufaa ya masha yako.
Hakuna namna ya mtu kuweza kupata au kuona mabadiliko katika maisha yake bila ya kufahamu kuwa masihara huzuia au kuchelewesha kile alichokigoja kwa mda mrefu. Kitabu hiki kitakupa mbinu na maarifa ya kuweza kuchochea mabadiliko ya kweli katika kile unachokifanya maishani mwako.