SITAGEUKA NYUMA KAMWE
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 28, 2021
Product Views:
4,519
Sample
Mabadiliko chanya huanza na wewe. Na ukishaamua kubadilika kamwe usigeuke nyuma.
Katika Kitabu Hiki Utajifunza Maarifa Muhimu ya Kukuwezesha kusonga mbele pale unapokutana na magumu katika maamuzi yako ya kufanya mabadiliko chanya.
Mwandishi ameeleza kwa undani hatua kwa hatua jinsi ya kutimiza adhima yako ya kufanya mabadiliko chanya kwa ushindi zaidi ili kuwa huru kiuchumi, kiroho na kifikra.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza