
Siri Za Wanaume Rijali
Mpendwa mwanaume,
Je, umekuwa ukiwahi sana kufika kileleni kuliko unavyotarajia? Au,
Unapata changamoto ya mkonga kusimama legevu?
Na mara nyingine, unachelewa kurudia tendo au kushindwa kabisa kurudia raundi ya pili baada ya kumaliza raundi ya kwanza?
Ikiwa unapitia changamoto moja kati ya hizo, kitabu hiki ni kwaajili yako, kwasababu kina majibu ya changamoto unazopitia.
Ndani ya kitabu hiki unapata kujua;
1. Aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu ya kiume na kuimarisha mkonga.
2. Mambo 7 unayopaswa kufanya ili uchelewe kufika kileleni.
3. Njia 5 za kumfikisha mkeo kileleni kabla yako.
4. Mambo wanayopenda wanawake kutoka kwa waume zao sio kama unavyofikiria wewe.
5. Ukweli kuhusu je, wanawake huwa wanajali kuhusu size ya mkonga?
6. Jinsi ya kuimarisha misuli ya uume iliyolegea
7. Mbinu 4 madhubuti za kumaliza tatizo la kuwahi kufika kileleni.
Na mengine mengi.
Hivyo, kama unataka kuwa mwanaume rijali na kujua siri za wanaume rijali kitabu hiki kipo kukuonyesha hayo. Kichukue, kipitie na kifanyie kazi.
Utaanza kuona mabadiliko kwako wewe mwenyewe na hata katika suala la tendo utaimarika kwa kiasi kikubwa sana hadi mkeo atakushangaa.
All the best.