Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Za Kuuza Zaidi Mtandaoni - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Siri Za Kuuza Zaidi Mtandaoni

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
6,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 29, 2024
Product Views:
18
In category:
Sample

Soma Maelezo Yote Hapo Chini

Najua Umawahi Kusoma na Kukutana na Vitabu Vingine Vya Biashara na Mauzo Mtandaoni, Lakini Hiki ni Tofauti Kabisa na Vingine Kwani Kimezingatia Uhalisia Uliopo na Kimeshawasaidia Wafanyabishara Mtandaoni Zaidi ya 73.

.

Hiki Kitabu Kina Jumla ya Kurasa 199, na Kimebeba Siri Nyeti Sana Za Kuuza Zaidi Biashara Mtandaoni, Hivyo Kama Huwezi Kutunza Siri na Ukazitumia Pekee yako, Nakuomba Sana Sana tena Sana, Usilipie Hiki Kitabu Tafadhali…

.

Lakini Kama Unakihitaji Kweli Kikusaidie na Upo Tayari Kuzitunza Hizi Siri Unazoenda Kuzipata Kwenye Hiki Kitabu, Basi Naomba Tuweke Makubaliano ya Pamoja Kwa Kurudia Kusema Maneno Yafuatayo na Utaje Jina Lako hapo…

.

Tuanze sasa….

.

*“Mimi…………… Nimekubali na Nina ahidi Kutoka Moyoni Kabisa Pasipo Kushawishiwa na Mtu yeyote na Kwa Akili Zangu Timamu, Ya Kuwa Nitazitunza na Kuzitumia Kimya Kimya Hizi Siri Za Kwenye Hiki Kitabu Pekee Yangu tu, na Sitomwambia Mtu yeyote hata anipe kiasi gani, Sikubali Ng'o.”*

.

Haya Sasa Tuendelee….. na Vitu Ambavyo Utavipata Kwenye Hiki Kitabu (Soft Copy Toleo Jipya Kabisa) Cha Siri Za Kuuza Zaidi Kwenye Mitandao ya Kijamii Kama Facebook, Instagram, TikTok, Twitter X, YouTube Pia Whatsapp na Telegram.

.

1.Hizi Ndio Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni na Kutengeneza Mamilionea Kila Siku, Ukizifanya Ndani na Nje ya Mitandao ya Kijamii - Uk 30

.

2. ONYO: Usijaribu hata Kidogo, Wala Usifanye Biashara Yeyote Mtandaoni Kama Huyajui Kwa Undani Haya Makundi 10 Ya Wateja Ambao Utakutana nao Kwenye Mitandao ya Kijamii- Uk 38

.

3.Iba Hizi Siri 15 na Uzitumie Pekee yako tu, Siri Za Kuwafanya Wateja Wakuamini Kabisa Kiasi Cha Kukutumia Pesa Hata Kama Wapo Nje ya Nchi Bila Wasiwasi Kabisa - Uk 54. 

.

4.Hizi ndio mbinu Zilizothibitishwa za Kupata Wazo la Biashara Mtandaoni Hata Kama Hauna Mtaji Mkubwa - Uk 18

.

5.ONYO: Usijingize Kwenye Haya Makosa 12 yanayofanywa na Wajasirimali wengi sana Wanapofanya Biashara Mtandaoni, Utalia Vibaya Mno - Uk 10

.

6.Hii ndio Dawa Iliyogunduliwa Hivi Karibuni ya Wateja Wa Aina hizi 13 Wanaoishia Kuulizia Tu Bidhaa au Huduma Bila Kununua - Uk 80

.

7.Hizi Ndizo Fomula 08 Za Siri Usizozijua Za Kuwafanya Wateja Kununua Chochote hata kama Hawataki, Kwa Bei Unayoitaka Wewe na Wakanunua - Uk 74

.

8.Iba Hizi Siri na Fomula Za 17 Za Kumfanya Mteja Atake Kununua Siku Hiyo Hiyo na Siyo Siku Nyingine Hata Kama Alikuwa Hana Mpango Kabisa Wa Kununua - Uk 91

.

9.Ukweli Usioujua Kuhusu Haya Mambo 10 yalijificha yanayowafanya Wateja Kununua Bidhaa au Huduma Kivyovyote Vile na Sio Unavyojua Wewe - Uk 96

.

10.Usijjaribu Kabisa Kuandika Tangazo Lolote Mtandaoni Bila Kusoma Huu Uk wa 101, Utaabika Vibaya Mno 

.

11.Hizi Ndio Fomula 10 (Lakini Sio Mahesabu..) na Viungo (Kama Ilivyo Viungo vya Mboga au Pilau) Zinazounda Tangazo Lolote Mtandaoni - Uk 112.

.

12.Asilimia 60% ya Wateja Huanza Kusoma Kichwa cha Habari Cha Tangazo Kabla ya Tangazo Zima, Ukikosea Kuandika Kichwa cha Tangazo, Nakuhakikishia Hakuna mtu atalisoma tangazo lako… Hizi Siri 30 Nakupa Lakini Zitumie Pekee yako tu Za Kuwateka Wateja Kupitia Kichwa cha Tangazo tu. - Uk 121 - 134

.

13.Ikitokea Wateja Hawanunui na Wala Hawakuamini Kabisa Kabisa Mtandaoni, Basi Tumia Hii Siri ya Kambi ya Kupata Wateja Wapya Kila Siku - Uk 135

.

13. 100% Haya Ndiyo Maudhui yenye Kunasa Wateja Mtandaoni - Uk 143

.

14. Kama Hauna Pesa ya Kulipia Fremu/Ofsi Tumia Hizi Mbinu Utanishukuru Sana tena sana - Uk 161

.

15. Ukweli Usioujua Kuhusu Hizi Sehemu 8 Zinazopuuziwa na Watu Wengi Sana Za Kujipatia Wateja Buree Mtandaoni - Uk 164 - Uk 180

.

16.Pesa Zako Za Mauzo Zimejificha Kwenye Hizi Siri 10 Ambazo Wafanyabishara Wakubwa Mtandaoni Hawawezi Kukuambia Hata Iweje - Uk 65

.

17.Hii Ndio aina ya Ufanyaji wa Biashara Unaouza Zaidi Mtandaoni Kuliko Aina Yeyote ile na Hii Ndio Wafanyabishara Wakubwa na Waliofanikiwa Mtandaoni Huitumia na Ndio Maana Wanaliteka Soko Zaidi - Uk 28, 

.

18.Wafanyabishara wote wenye majina makubwa mtandaoni walizitumia hizi siri ambazo hawataki kabisa wengine wazijue wanahofia kupitwa - Uk 46

.

19.Hizi Ndio Kanuni 12 Zilizothibitishwa Za Huduma Kwa Wateja (Customer's Service) -Uk 181

.

20.Na Vingine Vingi Utavipata Humu Kwenye Hiki Kitabu Cha *“SIRI ZA KUUZA ZAIDI MTANDAONI”* Ambacho Kinaenda Kuboresha Kabisa Biashara yako Mtandaoni.

.

Hiki Kitabu Nilipanga Nikiuze Kwa *Dollar 41* Sawa na *Tsh.94,218* , Lakini Nikakumbuka Kuna Wajasirimali Wengi Sana Wanatamani Kuanza Biashara Mtandaoni, Licha ya Kuwa Hata Ningekiuza Kwa Bei Hiyo Bado Wafanyabishara Wengi Wange-kigombania Sana Kama Daladala Za Mbagala.

.

Kwa Kulizingatia Hilo Nikaona Nipunguze Kabisa hadi *Sh.54,500* Ili Kila Mtu Apate Madini Yaliyopo Humu, Lakini Juzi Baada ya Kutoa Hii Ofa Kwenye Whatsapp *Nikapokea Zaidi ya Text 117* Wakiniomba Sana Tena Sana Niwapunguzie Na Wako Tayari Kulipia Kabisa…

.

Hivyo Nimeona Sio Mbaya Nikapunguza Kwasababu Ndio Kimezinduliwa Rasmi Hivi Karibuni Hivyo *Badala ya Kulipia Sh. 54,500 Itakuwa Sh.18,500 tu*. 

.

*NGOJA KWANZA*…

.

Nataka Niwape Zawadi Watu Wa 4 tu Hivyo Badala ya Kulipia *Tsh.94,218* Watachangia *Sh.6,500* tu Kama Asante, Na Hii Ni Kwa Ndani ya Saa 12 tu , Zikipita Sitokuwa tena na Hiyo Ofa ya Zawadi, Bei Itarudi Kwenye Sh.18,500 Kisha 54,500.

.

JINSI YA KUPATA KITABU HIKI

1. Bofya kitufe cha *BuyNow*

2. Jaza Jina lako lote (Majina Mawili)

3. Jaza Email Address Yako

4. Chagua mtandao utakao tumia kulipia 

5. Jaza number ya simu ya huo mtandao wako ulio chagua

6. Bofya kitufe cha *Complete Order* halafu subiri kidogo

7. Weka password yako ya malipo 

8. Bofya Okay


More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold