SIRI YA NINI
Price:
3,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 13, 2024
Product Views:
193
Sample
SIRI YA NINI .Ni tamthiliya inyo zungumzia maisha ya mwanadamu nachangamoto zake .pia jinsi gani siri inaweza kua tatizo unapo ificha mda mrefu
Kuna mda furaha na amani ya moyo haitaji pesa,elimu,au umaarufu wako kutoweka .maana ni vigumu kuizuia inapo taka kuondoka.
Pia kuna mapito mengine ya dunia yanaweza kukufanya ukufuru na kujiona ujio wako duniani uenda ulikua wa makosa.
Yapo mengi ya kuelezea lakini tamthiliya ya SIRI YA NINI imeletwa kukuhadithia kila kitu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza