SIRI YA KUWA MWANAUME
Maana sahihi ya mwanaume
Mwanaume sio jinsia tu, kuna vitu vingine ambavyo vinahitajika ili kumkamilisha huyo mtu mwenye jinsia ya kiume na akawa mtu wa kutegemewa katika jamii husika.
Katika kitabu cha SIRI YA KUWA MWANAUME kuna mambo mengi ya kujifunza ikiwamo haya yafuatayo;
1:: Mtoto wa kiume ni picha ya baba yake .
2:: Baba ni nani , vigezo gani vinavyofanya uitwe baba? Je kuzaa tu kunatosha kukufanya uwe baba?
3::Mfahamu mwana wa kweli na sifa zake.
4:: Mwanaume ni nani , na ni kitu gani kinachofanya aitwe mwanaume.
5::uanaume ni nini?
6:: Mambo ya msingi yanayomuelezea mwanaume na uanaume wake.
7::kwanini Wewe uwe mwanaume?
8:: namna ya kuwa mwanaume bora .
9::ijue tofauti ya mwanaume na mvulana
10::sifa za mwanaume bora. Namna ya kuwa mwanamume ambaye ni ndoto ya kila mwanamke.
11:: Mungu anamtazama mwanaume Kwa namna gani?
12:: Kwanini kila kosa analaumiwa mwanaume?
13:: Kwanini Katika jamii wahalifu na watu wasumbufu na waliojaa magerezani ni wanaume?
14::Hitaji la mwanaume kwenye familia
15:: Nafasi za mwanaume ambazo asipozikalia kuna vitu haviwezi kufanyika.
16::Kitu cha thamani kwenye mikono ya mwanaume.
Na vingine vingi utajifunza kwenye kitabu hiki .